EPUKENI KUJIHUSISHA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WANAFUNZI.

Na Issa Mwadangala Wasafirishaji wa abiria kwa kutumia pikipiki (Bodaboda) kijiwe cha Shingo feni kilichopo Kijiji cha Lumbila Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wametakiwa kuepukana na vitendo vya kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi ikiwa ni pamoja na kufuata na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepukana na ajali ambazo zinaweza kusababisha madhara makubwa…

Read More

Dk Mwinyi ataja anachojutia kutomueleza Charles Hilary

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema msiba wa Charles Hilary umemfundisha umuhimu wa kuwatambua na kuwapongeza wafanyakazi wakiwa bado hai. Amesema anajutia kutomweleza marehemu Charles Hilary kuwa alikuwa mfanyakazi mzuri, mzalendo na mwajibikaji. Dk Mwinyi ameeleza kwa masikitiko majuto yake kwa kutomwambia mapema marehemu Charles Hilary jinsi alivyokuwa akimthamini na kuvutiwa na utendaji…

Read More

Ukicheza Sloti ya Book of Eskimo Ushindi ni Rahisi

KUPANGA ni kuchagua, chagua kuwa mshindi kila siku kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kila siku kuna bonasi kibasi na michezo sana usipange kukosa bahati hii. Kupitia sloti mpya ya Book of Eskimo unaweza kushinda kirahisi swali ni je unashindaje shindaje? Soma Zaidi… Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakurejesha kwenye simulizi za mabingwa kuhusu juhudi…

Read More

TANZANIA NA JAMHURI YA CZECH ZASAINI MKATABA WA KUONDOA UTOZAJI KODI YA MAPATO MARA MBILI NA KUZUIA UKWEPAJI WA KODI

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) na Balozi wa Jamhuri ya Czech nchini Tanzania mwenye makazi yake ya kudumu Nairobi-Kenya, Mhe. Nicol Adamcová, wakionesha Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi (Agreement for the Elimination of Double Taxation with Respect to Taxes on Income and…

Read More

Tanzania kushiriki Mashindano ya Kimataifa ya kuchanganya Vinywaji yanayoandaliwa na Hennesy

UTAMADUNI wa vinywaji vilivyochanganywa maarufu kama cocktail nchini Tanzania unaendelea kupata umaarufu na kutambulika kimataifa huku watengeneza vinywaji wa Tanzania wakijiandaa kuonyesha vipaji vyao katika moja ya mashindano yenye hadhi ya juu zaidi duniani ya ubunifu wa vinywaji. Mwaka huu, Tanzania inaungana na nchi nyingine zenye masoko ya chapa maarufu duniani ya Hennessy barani Afrika…

Read More

Takukuru, GGML washirikiana kudhibiti rushwa

Geita. Katibu Tawala wa Mkoa wa Geita, Mohamed Gombati amesema kuwa rushwa ni janga linalodhoofisha haki, maendeleo na usawa katika jamii na kusababisha kuzorota kwa huduma za kijamii, kushindwa kwa ukuaji wa uchumi, pamoja na kuathiri mazingira ya uwekezaji. Akizungumza leo, Mei 14, 2025, wakati wa ufunguzi wa kongamano la wadau wa mapambano dhidi ya…

Read More