ose Mujica: Rais maskini duniani

Uruguay. Ni nadra kukutana na mtu aliyeongoza mapigano ya msituni akajitokeza hadharani kupambana na mfumo uliopo madarakani kisha kuchaguliwa kuwa Rais wa nchi. Anayezungumziwa hapa ni Jose ‘Pepe’ Mujica (89), aliyekuwa Rais wa Uruguay kati ya kati ya mwaka 2010-2015. Kifo cha Mujica kilitangazwa juzi Jumanne na Rais wa nchi hiyo, Yamandu Orsi, kupitia mitandao…

Read More

Wananchi, wasomi wakoleza mjadala uongezwaji majimbo

Dar es Salaam. Wananchi na wasomi wamekoleza mjadala wenye mitazo tofauti kuhusu nyongeza ya majimbo mapya manane yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), baadhi wakisema hatua hiyo inakwenda kuongeza mzigo kwa walipakodi. Pia wapo waliopongeza uamuzi huo, wakisema utawezesha wabunge kuwafikia wananchi kwa urahisi na kuchukua kero zao. Mei 12, 2025 Mwenyekiti…

Read More

Gachagua azindua chama chake, risasi zarindima

Nairobi. Shughuli ya uzinduzi wa chama kipya kilichoanzishwa na aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua imeingia dosari baada ya watu ambao bado hawajajulikana kuvamia eneo ilipokuwa inafanyika shughuli hiyo. Baada ya watu hao kufika eneo hilo leo Alhamisi Mei 15, 2025, jijini Nairobi, walinzi wa Gachagua walilazimika kupiga risasi hewani na kulifanya kundi hilo…

Read More

Yacouba…Alitumia mamilioni kutibu goti | Mwananchi

“Ilikuwa kwenye mchezo wa timu yangu Tabora United dhidi ya KMC, nakumbuka nilimpiga chenga beki nikiwa nataka kwenda kufunga nikateleza vibaya mguu wangu wa kushoto ukageuka, nikasikia maumivu makali eneo la goti, nikaona labda ni kitu kidogo. Nikajaribu kuinuka lakini maumivu yakawa makali zaidi.” Haya ni maneno ya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Yacouba Songne…

Read More

Waendesha bodaboda 3,032 wasajiliwa | Mwananchi

Dodoma. Hadi kufikia Mei 11, 2025 waendesha bodaboda 3,032 walikuwa wamesajiliwa kwenye mfumo wa utambuzi, usajili na utoaji wa vitambulisho vya kidijitali, Bunge limeelezwa. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake Jinsia na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis leo Alhamisi Mei 15, 2025 ambapo amesema Serikali inao mkakati wa kuwatambua na…

Read More

Watakaowavaa kina Ronaldinho hawa hapa

WACHEZAJI wakongwe wa soka visiwani Zanzibar watakaovaa na mastaa wa zamani wa Brazili wamefahamika baada ya waratibu wa pambano hilo lililopewa jina la ‘Match of the Legends’ kuweka hadharani leo Alhamisi visiwani hapa. Mechi ya kimataifa ya kirafiki baina ya wachezaji hao wa zamani wa Brazili wakiongozwa na Ronaldo de Assis Moreira ‘Ronaldinho Gaucho’ dhidi…

Read More