Chadema, Msajili bado kaa la moto

Dar/mikoani. Ni mvutano. Hoja ya uhalali wa wajumbe wa Kamati Kuu na Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imeibua hali ya kutunishiana misuli kati ya chama hicho na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, huku kila upande ukitoa hoja za kisheria kuhalalisha hatua ulizochukua. Chadema kupitia uongozi wake inakosoa uamuzi wa Msajili…

Read More

WHO yapunguza nusu ya wafanyakazi

Dar es Salaam. Shirika la Afya Duniani (WHO) limepunguza nusu ya timu yake ya usimamizi na italazimika kupunguza shughuli zake baada ya Marekani kutangaza inaondoka katika shirika hilo na kusitisha ufadhili. Pamoja na uamuzi huo, WHO inakusudia kufunga baadhi ya ofisi zake katika nchi zenye kipato cha juu. Taarifa iliyotolewa jana Jumatano, Mei 14, 2025…

Read More

Haji Mnoga asaini mwaka mmoja England

BEKI wa Salford City na timu ya Taifa, Taifa Stars, Haji Mnoga ameongezewa mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kusalia katika kikosi hicho kinachoshiriki League Two (daraja la nne) nchini England. Mnoga alisajiliwa na timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja uliokuwa unaisha mwishoni mwa msimu huu. Mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo, aliliambia…

Read More

Mzize akomaa Ligi Kuu, vita mpya yaibuka

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize ameiva. Angalia katika orodha ya wafungaji mabao wa Ligi Kuu Bara ndio utaelewa. Nyota huyo anayeitumikia Yanga kwa msimu wa tatu mfululizo sasa tangu alipopandishwa kutoka timu ya vijana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu, Nasreddine Nabi amewasha moto mkali msimu huu. Hii ni kutokana hadi sasa Mzize kuwa mchezaji…

Read More

Simba yaanza mambo, Fadlu akitaka usiri

KIKOSI cha Simba kimefanya mazoezi ya kwanza nchini Morocco baada ya kuwasili jana Alhamisi asubuhi. Mazoezi hayo yamefanyika kwenye viwanja vya Mazgan katika mji wa Jadida. Wachezaji wote waliosafiri katika msafara wa Simba kuja Morocco wameshiriki katika mazoezi hayo. Kabla ya mazoezi hayo kufanyika, kocha Fadlu Davids alitoa agizo la kuzuia waandishi wa habari na…

Read More

Kupunguzwa kwa fedha nchini Afghanistan inamaanisha ‘maisha yamepotea na kuishi kidogo’ – maswala ya ulimwengu

Wanawake wengi walikuja kliniki ambao walikuwa wametembea masaa kadhaa kupokea huduma ya mama – baadhi yao na watoto wao wachanga na wajawazito wengine. Na hapo ndipo kulikuwa na wafanyikazi wa afya wenyewe, wameazimia kuwahudumia wale wanaohitaji katika maeneo magumu ya kufikia taifa lenye umaskini wa Taliban. ‘Mbali na rada’ Hizi zilikuwa baadhi ya pazia lililoshuhudiwa…

Read More