Simba yaonyesha ukubwa Morocco | Mwanaspoti
CASABLANCA: SIMBA haijasafiri kinyonge kutoka Dar es Salaam kuja hapa Casablanca, Morocco ambako itakaa kwa muda kisha kwenda Berkane ambako Jumamosi ya Mei 17, 2025 itashuka Uwanja wa Manispaa ya mji wa Berkane, kuvaana na RS Berkane katika mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba itavaana na Berkane ikiwa ni mechi ya…