Tasaf awamu ya tatu kujikita kwenye mabadiliko ya tabianchi
Unguja. Awamu ya pili ya utekelezaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) inapoelekea ukingoni, maandalizi ya awamu mpya yanayoanza Oktoba mwaka huu yanaendelea. Kipaumbele kikubwa kitawekwa kwenye miradi ya ajira za muda na ustawi wa kaya zinazolenga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi na kuongeza kipato kwa wananchi. Pamoja na kwamba vipengele vya…