Suzan Kiwanga, vigogo wengine watatu waondoka Chadema
Morogoro. Viongozi wanne wa Chadema kutoka wilaya za Kilosa, Kilombero na Halmashauri ya Mlimba, mkoani Morogoro na wanachama wengine 50, wametangaza kujivua uanachama wa chama hicho. Wamesema wamefikia uamuzi huo kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo msimamo wa chama wa kutoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Viongozi wa Chadema walioondoka ni pamoja na aliyekuwa Mbunge wa…