Zelensky adai Putin anamuogopa, ataja sababu
Kyiv. Rais, Volodymyr Zelensky wa Ukraine amesema yupo tayari kuonana na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais, Vladimir Putin wa Russia. Zelensky ametoa kauli hiyo leo Jumatano Mei 14, 2025, huku akimkejeli Rais Putin kuwa anaogopa kuonana naye hususan kwenye mkutano uliopangwa kufanyika Alhamisi wiki hii. Hata hivyo, Russia bado haijathibitisha iwapo Rais…