Mnyika: Chadema hatuna timu Mbowe wala timu Lissu
Mwanza. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema makundi yote yaliyoundwa kuunga mkono wagombea wakati wa uchaguzi wa ndani wa chama hicho yalivunjwa baada ya mchakato wa uchaguzi kukamilika. Akihutubia mkutano wa hadhara eneo la Igoma jijini Mwanza jana, Mei 12, 2025, Mnyika amekana chama hicho kugawanyika katika makundi mawili,…