Fursa mpya, vilio mgawanyo wa majimbo
Dar es Salaam. Utamu na uchungu, ndiyo maneno mafupi yanayoakisi kilichoelezwa na wadau wa siasa kuhusu matokeo ya uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kugawanya majimbo. Mgawanyo huo umesababisha kuzaliwa kwa majimbo mapya manane ya uchaguzi na hivyo, kufanya uchaguzi wa baadaye mwaka huu uhusishe jumla ya majimbo 272, Tanzania Bara na…