WANAFUNZI WATUMIA MITUMBWI MIAKA 10 KWENDA S
Wananchi wa Iyozu wakivuka na mtumbwi kuingia upande wa pili.::::::::: Na Daniel Limbe,Torch media WANAFUNZI wa kitongoji cha Iyozu kata ya Muungano wilayani Chato mkoani Geita wanalazimika kutumia mitumbwi kutoka kwenye makazi yao kwenda shuleni kutokana na mvua kubwa zilizonyesha miaka 13 iliyopita kukata mawasiliano ya kitongoji hicho kwenda kwenye kijiji cha Rubambangwe. Inaelezwa kuwa…