Sadala Lipangile: KenGold bado haijashuka

BEKI wa KenGold, Sadala Lipangile amesema pamoja na timu hiyo kushuka daraja, wachezaji hawajashuka daraja badala yake mechi tatu zilizobaki ndizo za kujitafuta ili waendelee kubaki Ligi Kuu msimu ujao. KenGold ambayo awali ilijulikana kama Gipco FC (Geita) inatarajia kushiriki Championship msimu ujao baada ya kushindwa kubaki Ligi Kuu kufuatia matokeo iliyopata kwa kuvuna pointi…

Read More

Wizi mitandaoni bado  tatizo | Mwananchi

Dodoma. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi, amesema ukuaji wa teknolojia umekuja na fursa na changamoto zake, ikiwamo wizi wa mitandaoni ukihusisha Simbanking. Mahundi amebainisha hayo leo Mei 12, 2025 bungeni Dodoma akieleza kwamba watumiaji wa huduma za mawasiliano wamekuwa wakifanyiwa hadaa na kujikuta wametapeliwa fedha zao mtandaoni. Kwa mujibu wa…

Read More

Mambo manne waliyojadili Kapteni Traoré, Putin Russia

Ouagadougou. Rais wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traoré, amehitimisha ziara yake nchini Russia alipohudhuria sherehe za Siku ya Ushindi wa Russia (Victory Day) dhidi ya utawala wa Kinazi wa Adolf Hitler. Traoré, aliyesafiri kwenda Russia kwa kutumia ndege aliyotumiwa na rafiki yake, Rais Vladimir Putin, kisha kurejea nchini mwake, alishiriki kikamilifu katika sherehe hizo, ikiwemo…

Read More

Meridianbet Yawapeleka Wachezaji Kwenye Dunia ya Miungu Kupitia Mchezo Mpya – Gates of Olimpia

WAPENZI wa michezo ya slot, Meridianbet inawaletea mchezo mpya wenye mandhari ya kifalsafa na kihistoria: Gates of Olimpia – kazi ya kipekee kutoka kwa wabunifu maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios. Katika mchezo huu, wachezaji wanaalikwa kuingia kwenye ulimwengu wa hadithi za Kigiriki, ambapo kila mzunguko wa slot unaweza kufungua milango ya zawadi kubwa…

Read More

KenGold, Pamba Jiji mechi ya upande mmoja

WAKATI KenGold ikiikaribisha Pamba Jiji katika mwendelezo wa Ligi Kuu Jumanne hii, huenda mchezo huo ukawa wa upande mmoja kutokana na matokeo ya timu hizo, huku makocha wa timu hizo wakieleza matarajio yao. Hadi sasa KenGold imeshuka daraja baada ya kushiriki msimu mmoja Ligi Kuu, huku Pamba Jiji ikiwa na matarajio ya kukwepa aibu ya…

Read More

Wafanyabiashara Iringa wafunga maduka, wananchi wahaha

‎Iringa. Wananchi wa Mkoa wa Iringa wamejikuta katika hali ya taharuki na usumbufu, kufuatia kufungwa kwa biashara nyingi katikati ya mji kuanzia asubuhi ya leo, Mei 12, 2025. ‎Tukio hilo limeathiri upatikanaji wa huduma na bidhaa muhimu kwa wakazi wa Iringa, ambao kwa kawaida hutegemea sana biashara za mjini kwa mahitaji yao ya kila siku….

Read More