Wizara ya Elimu yataja vipaumbele vitano bajeti 2025-2026

Na Janeth Raphael MichuziTv – BUNGENI Dodoma KATIKA mwaka wa fedha 2025/26, Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepanga kutekeleza vipaumbele vitano ikiwemo kuendelea na utekelezaji wa sera na mitaala, mapitio ya sheria na kuandaa miongozo ya utoaji wa elimu na mafunzo. Vipaumbele hivyo vimetajwa leo Mei 12,2025 bungeni na Waziri wa Elimu,Sayansi…

Read More

Takwimu za elimu kuwa katika mfumo Moja

Na Janeth Raphael MichuziTv- Bungeni -Dodoma WIZARA ya Elimu,Sayansi na Teknolojia inajivunia kuunganisha mifumo ya takwimu za elimu na kuwa na mfumo mmoja wa sekta ya elimu. Hayo yameelezwa leo Mei 12,2025 bungeni na Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Adolf Mkenda wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha…

Read More

SERIKALI KUTEKELEZA MFUKO WA UBUNIFU WA SAMIA “SAMIA INNOVATION FUND” WENYE THAMANI YA BIL 2.3

Serikali inatarajia kuanza utekelezaji wa mfuko wa Ubunifu wa Samia “SAMIA Innovation Fund” wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.3 utakaotoa mikopo nafuu kwa wabunifu kwa lengo la kuendeleza na kubiasharisha ubunifu pamoja na kutoa fursa za ajira kwa watanzania kupitia kazi za ubunifu. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda (Mb) amebainisha…

Read More

Elimu na maadili ni sawa na watoto pacha

Arusha. Katika safu hii ya gazeti la Mwananchi inayoitwa Elimu na Maadili, nimeandika makala zaidi ya 200 kuanzia mwaka 2021 hadi sasa. Ninavyoendelea kuandika kuhusu hoja hizo mbili, nimejikuta mara nyingi nashindwa kuzitofautisha, nikijiuliza hivi kweli unaweza kuzungumza juu ya elimu bila kugusa maadili, au inawezekana kujadili maadili bila kujadili elimu? Tukumbuke hapa kwamba natumia…

Read More

Sasisho la Msaada wa Sudan, Vifo vya Wahamiaji wa watoto baharini, uhaba wa uuguzi, Scourge ya wadudu – Maswala ya Ulimwenguni

Port Sudan – sehemu kuu ya kuingia kwa vifaa vya kibinadamu na wafanyikazi nchini – ilishambuliwa kwa siku ya tisa mfululizo. Kama kitovu kikuu cha kibinadamu cha UN huko Sudani, mgomo wa Drone kwenye mji wa pwani umeathiri sana utoaji wa misaada. Walakini, huduma ya hewa ya kibinadamu (Unhas) Ndege ziliweza kuanza tena Mei 8,…

Read More

Elimu nyumbani wajibu uliosahaulika na wazazi wengi

Dar es Salaam. Jua la asubuhi linaangaza kupitia dirisha la jikoni, huku Anita Msita mwenye umri wa miaka minane akipaka siagi ya karanga kwenye mkate.  Sebuleni, kaka yake Sam Msita ameketi kwenye si sofa akisoma kitabu kuhusu viumbe wa baharini.  Aghalabu hivi ndivyo ilivyo katika nyumba hii ya familia ya  Msita Semu. Huyu akisoma hiki …

Read More

Usalama wa Waandishi wa Habari Kipaumbele Kikuu cha CoRI

UMOJA wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) umekutana ilikujadili mambo matatu muhimu ikiwemo kusaini makubaliano yatakayosaidia umoja huo ikiwa ni kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025. Makubaliano hayo yanatokana na mkakati waliojiwekea kwa kipindi cha miaka minne na tatu ni namna gani ujumbe wa CoRI utafika kwa jamii Akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuhitimisha…

Read More