Mwili wa Hayati Msuya wapokewa Kilimanjaro, kuzikwa kesho
Moshi. Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya umewasili asubuhi ya leo Jumatatu, Mei 12, 2025 katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia) na kupokewa na viongozi wa mbalimbali wa Serikali. Msuya ambaye alizaliwa mwaka 1931 katika Kijiji cha Chomvu, Usangi, Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro…