HAWA NDIYO WALIKUWA MIONGONI MWA MARAFIKI WA CHARLES HILARY
Hawa sasa ndiyo walikuwa marafiki wakubwaa wa Mzee Charles Hilary. Abou Lyiongo, Ahmed Kipozi kakosekana hapo Jlius Nyaisanga, Majura na Mzee Tido Mhando japo Tido nafikiri alikuwa mkubwa kwao sana na Abou alikuwa mdogo wao. Wote walianzia RTD kisha wote kwa nyakati tofauti walienda nje watatu BBC, Tido, Charlesna Majura yy aliripoti kutokea Dar. Kipozi…