WANAUSHIRIKA WAIGUSA JAMII WATOA VIFAA TIBA HOSPITALI YA WILAYA YA CHAMWINO
WANACHAMA wa JUKWAA la Ushirika Mkoa wa Dodoma wametimiza kwa vitendo msingi wa Saba wa Ushirika wa kuijali jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 14 kwa Hospitali ya wilaya ya Chamwino iliyopo katika kijiji cha Mlowa barabarani kilichopo wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Wiki ya Jukwaa la…