SERIKALI HAIJAWAHI KUPORA MALI ZA USHIRIKA-MWENYEKITI SHIRECU
Chama Kikuu cha Ushirika cha mkoa wa Shinyanga (SHIRECU LTD) kimekanusha vikali madai yanayoilamikia Serikali kupitia Wizara ya Kilimo kwa kumtuhuhumu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kupora na kujimilikisha mali za Ushirika ambayo ni maghala ya Chama hicho yenye thamani ya milioni 900. Madai hayo yamekanushwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chama hicho Lenis…