Samia aahidi kuupa hadhi Mkoa wa Tabora uendane na historia yake
Tabora. Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuupa hadhi yake Mkoa wa Tabora kama kitovu cha historia ya chama hicho iliyofanikisha uhuru wa Taifa hili. Samia amebainisha hayo leo Septemba 12, 2025 mjini Tabora, wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, ukihudhuriwa na maelfu…