Serikali Yaahidi Kuwawezesha Watu Wenye Ulemavu Kushiriki Shughuli za Uchumi na Jamii
WAZIRI wa nchi ofisi ya waziri mkuu kazi, ajira, vijana na watu wenye ulemavu Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete ameshiriki kongamano la watu Wenye Ulemavu lililoandaliwa na Ikupa Trust Fund kama mgeni rasmi akimuakilisha Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, kongamano hilo limefanyika katika Ukumbi wa St. Gaspar, Dodoma Mei…