New King yavunja mwiko na kupanda ZPL
Timu ya New King maarufu ‘Wachoma Mahindi’ imetegua kitendawili kilichokuwa kikiulizwa na wengi kwa miongoni mwa timu zilizopanda daraja na msimu ujao itacheza Ligi Kuu Zanzibar(ZPL). Timu nyingine zilivuka hatua hiyo kwa Kanda ya Pemba ni Wawi na Fufuni zitakazocheza ZPL kwa kwa mara ya kwanza pia. Wachoma Mahindi wametinga hatua hiyo baada ya kuitandika mabao…