Jaruph afurahishwa na mwaliko wa Oman
KOCHA wa timu ya taifa ya Soka la Ufukweni ya Tanzania (Beach Soccer), Jaruph Juma amesema kualikwa Oman kutawaongezea kitu kutokana na nchi hiyo kupiga hatua katika mchezo huo.
KOCHA wa timu ya taifa ya Soka la Ufukweni ya Tanzania (Beach Soccer), Jaruph Juma amesema kualikwa Oman kutawaongezea kitu kutokana na nchi hiyo kupiga hatua katika mchezo huo.
BEKI wa Kitanzania, Haji Mnoga anayekipiga Salford City ya England amemaliza kibabe msimu akifunga bao moja na asisti nne. Huu ni msimu wa kwanza kwa beki huyo wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kuitumikia timu hiyo akitokea Aldershot aliyeichezea kwa misimu miwili. Mnoga alicheza mechi 39 kati ya 46 za timu hiyo kwa dakika 3306…
Waziri wa Elimu Mhe Prof Adolf Mkenda akiwasili bungeni leo tarehe 12 Mei 2025 kwa ajili ya kuwasilisha Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa Fedha 2025/2026
RAIS wa Bigman FC, Ahmed Waziri Gao, amesema baada ya msimu kuisha watakaa chini na kocha wa timu hiyo, Zubery Katwila kwa lengo la kujua hatima yake katika kikosi hicho kwa msimu ujao, baada ya mkataba wake aliousaini kufikia rasmi ukomo. Akizungumza na Mwanaspoti, Gao alisema licha ya kutotimiza malengo ya kupanda Ligi Kuu Bara…
MKOA wa Iringa umeanza mkakati wa kujenga uwanja wa kisasa wa gofu utakaojulikana kama Mkwawa Golf Course ili kuendeleza mchezo huo mkoani huo na nchini kwa jumla. Kwa miaka mingi Iringa imekuwa na uwanja mmoja wa gofu wa Mufindi uliojengwa na Kampuni ya kikoloni ya Brooke Bond uliopo katika mashamba ya chai na wazo hilo…
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera na pia Mjumbe wa Kamati ya Uchumi, Fedha na Mipango UWT Taifa, Bi. Samira Khalfan, ameadhimisha Siku ya Mama Duniani kwa kuwatembelea wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Msingi Kabindi, wilayani Biharamulo. Ziara hiyo ililenga kuonyesha upendo, mshikamano na kuwapa faraja wanafunzi hao kwa kusherehekea…
BEKI wa kati wa matajiri wa Dar es Salaam, Azam FC Abdallah Kheri ‘Sebo’ ameingia anga za Wasauzi baada ya kuanza kuwindwa na klabu ya Polokwane City ya Afrika Kusini kwa ajili ya kukitumikia kikosi hicho chenye makao jijini Polokwane katika jimbo la Limpopo.
Na Editha Karlo,Kigoma MKUU wa Wilaya ya Kigoma mjini Dkt Rashid Chuachua ameupongeza uongozi mzima wa kituo cha redio cha Main FM kwa jinsi kinavyoendelea kuonyesha kuwasaidia vijana kwa kuibua vipaji vyao vya michezo kwa kuandaa matukio ya kijamii ikiwemo mashindano ya mpira wa miguu. Dkt Chuachua ameyasema hayo kwenye ukumbi wa Kigoma social hall…
Serikali ya awamu ya sita ikishikirikiana na sekta binafsi imedhamiria kuja na mpango wa kuanzisha vituo vya ukodishaji wa mitambo ya uchimbaji madini ambapo mitambo hii itaenda kuwa mwanga kwa wakulima pia. Hayo yamesemwa na waziri wa madini Antony Mavunde wakati wa kilele cha kongamano la wachimbaji madini lililofanyika katika mamlaka ya mji mdogo Katoro…
Dar es Salaam. Baadhi ya wanawake wamekuwa wakitumia njia za uzazi wa mpango bila kuzingatia hali zao, hivyo kujiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa sugu. Hata hivyo madaktari wanashauri kabla ya kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango, ni vema mwanamke akakutaka na mtaalamu wa magonjwa ya kinamama apate ushauri na vipimo kabla ya kufanya…