Charles Hilary atakumbukwa kwa haya….
Dar es Salaam. Nguli wa tasnia ya habari nchini, Charles Hilary amefariki dunia, huku wadau waliowahi kufanya kazi naye, wakimkumbuka kwa weledi, umahiri wa kitaaluma, ucheshi na sauti yake ya kipekee waliyoifananisha na dhahabu. Rais Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwa walioguswa na msiba huo, akimtaja kuwa nguli aliyekuwa na mchango wa zaidi ya miaka…