Wenza waliohukumiwa miaka 20 jela waibwaga Serikali, waachiwa huru
Arusha. Wamejinasua. Hili ndilo neno linaloweza kuelezea namna wanandoa Ayubu Mfaume na Pilly Mohamed walivyoponea chupu chupu kutupwa jela miaka 20 baada ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya heroini, kufuatia kuachiwa huru na Mahakama ya Rufani Tanzania. Hii ni mara ya pili kwa wanandoa hao kumshinda Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) katika Mahakama ya…