Heche: Chadema ikishika dola itawalipa pensheni wazee wote
Geita/Sengerema. Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho ikishika dola italipa pensheni kwa wazee wote nchini wenye umri wa kustaafu. Akihutubia mikutano wa hadhara katika viwanja vya Kanisa la Wasabato Kijiji cha Nkome Wilaya ya Geita na Nyehunge Wilaya ya Sengerema leo Mei 11, 2025, Heche amesema kila mzee nchini ana mchango…