BARRICK YAWEZESHA WANAFUNZI MZUMBE KUPATIWA UTAMBUZI WA FURSA KUPITIA KONGAMANO LILILOANDALIWA NA AIESEC

  Afisa Rasilimali Mwandamizi wa Barrick nchini Emmanuel Msacky,akiongea na Wanafunzi katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC Afisa Rasilimali Mwandamizi wa Barrick nchini Emmanuel Msacky,akiongea na Wanafunzi katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC Wanafunzi wakiwa katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC Wanafunzi wakiwa katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC Wanafunzi wakiwa katika kongamano lililoandaliwa na AIESEC Wafanyakazi wa Barrick…

Read More

BALOZI NCHIMBI ASHIRIKI KUMUAGA MZEE MSUYA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa salaam na heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Hayati Mzee Cleopa David Msuya, Makamu wa Kwanza na Waziri Mkuu Mstaafu, shughuli iliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, baada ya ibada, iliyofanyika Viwanja…

Read More

Mangi Marealle akwaa tena kisiki

Moshi. Mfanyabiashara mashuhuri na Mangi wa wachaga wa Marangu, Mkoa wa Kilimanjaro, Frank Marealle, anayetaka mwili wa mama yake mdogo ufukuliwe na kuzikwa eneo lingine kwa madai eneo hilo ni mali yake, amekwaa kisiki kortini. Hii ni mara ya pili Frank anashindwa shauri hilo, kwani Mei 5,2023 Baraza hilo kupitia kwa mwenyekiti, Reginald Mtei lilitamka…

Read More

Grace Kiwelu, Mgonja, Kilawila, Rachael wajiondoa Chadema

Moshi. Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho, Gervas Mgonja, wametangaza kujivua uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumapili, Mei 11, 2025. Gervas Mgonja, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro Wengine waliojivua uanachama ni Katibu wa Bawacha Kanda ya Kaskazini, Rachael Sadick, Mwenyekiti…

Read More

Kivuli cha Mbowe kinavyoitesa Chadema

Dar es Salaam. Licha ya uamuzi wa kukaa kimya kwa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kuhusu yanayoendelea ndani ya chama hicho, kivuli chake kimeendelea kuwa mwiba wenye athari lukuki. Dhana na hisia kuwa yuko nyuma ya makundi yanayopingana mitazamo na uongozi wa sasa wa chama hicho zimeendelea kugubika fikra za…

Read More

Charles Hillary afariki, Rais Samia, wadau wamlilia

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary amefariki dunia alfajiri ya leo Jumapili Mei 11, 2025 jijini Dar es Salaam. Charles pia aliwahi kuwa mtumishi mwandamizi wa kituo cha Azam Media Limited kati ya mwaka 2015 na 2023. Alihitimisha muda wake akiwa…

Read More