OCPD yapongeza Ushirikiano na Ofisi ya Mashitaka katika zoezi la Urekebu wa Sheria
Na: Calvin Gwabara – Dodoma. Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria (OCPD) imekabidhi Juzuu za toleo la Urekebu wa Sheria la mwaka 2023 kwa Ofisi ya Taifa ya Mashitaka na kupongeza mchango mkubwa uliotolewa na Ofisi hiyo kupitia watumishi wake kwenye utekelezaji wa zoezi la Urekebu. Mkurugenzi wa Mashitaka Bw. Sylvester Mwakitalu…