MARIAM ULEGA AHIMIZA WANANCHI MSANGA KUJIHAKIKI KATIKA DAFTARI LA MPIGA KURA
Na Mwandishi Wetu MJUMBE wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT)Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa jumuiya hiyo Mariam Ulega amewataka wananchi wa Msanga kujitokeza kupiga kura kwa sababu ni haki msingi kupiga kura. Mariam ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchi wa Kata ya Msanga wilayani Kisarawe mkoani Pwani…