Wawakilishi wang’aka bajeti kiduchu ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais
Unguja. Wakati Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, ikiomba Baraza la Wawakilishi kuhidhinisha Sh27 bilioni kutekeleza vipaumbele 11 katika idara tano, baadhi ya wawakilishi wamelalamika Serikali kutenga kiasi kidogo ikilinganishwa na ukubwa wa ofisi yenyewe na watu inaowahudumia. Kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais…