Mkurugenzi wa Jatu aomba kuiachia mahakama kesi yake

Dar es Salaam. Peter Gasaya (33), mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Jatu PLC anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, amesema anaiachia Mahakama ishughulikie kesi yake. Gasaya anakabiliwa na mashtaka mawili –kujipatia Sh5.1 bilioni kwa njia ya udanganyifu na kutakatisha kiasi hicho cha fedha, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Kupitia wakili…

Read More

Kipigo cha 5-1 chamzindua Minziro

KIPIGO cha mabao 5-1 ilichopewa Pamba Jiji kutoka kwa Simba, kimemfanya kocha wa timu hiyo, Fred Felix ‘Minziro’ kuzinduka na kutambua ana kibarua kizito cha kupambana hili kuiokoa timu hiyo kwa mechi tatu zilizosalia, tofauti na alivyotarajia awali. Minziro alisema kwa sasa ana mtihani mzito kutoka kwa timu wapizani wanaochuana eneo la mkiani kupambana kuepuka…

Read More

UDART YAZINDUA BASI LA KWANZA LINALOTUMIA GESI ASILIA JIJINI DAR ES SALAAM

 ::::::::: Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) umezindua basi lake la kwanza linalotumia gesi asilia iliyosindikwa (CNG), hatua inayolenga kupunguza gharama za uendeshaji na kuboresha mazingira ya usafiri jijini Dar es Salaam,Uzinduzi huo umefanyika katika kituo cha TPDC, ukiashiria mwanzo wa mabadiliko makubwa katika sekta ya usafiri wa umma,basi hilo ni la kwanza kati ya…

Read More

Guterres inakaribisha uchaguzi wa Papa Leo ‘wakati wa changamoto kubwa za ulimwengu’ – maswala ya ulimwengu

Utakatifu wake Papa Leo XIV – mzaliwa wa Robert Francis Prevost – ndiye mtu wa kwanza kutoka Merika kuongoza Kanisa Katoliki, ingawa pia anashikilia uraia wa Peru baada ya kufanya kazi katika nchi ya Amerika ya Kusini kwa miaka mingi. Alichaguliwa na Makardinali wakipiga kura huko Vatikani huko Roma, na baadaye akasalimia maelfu walikusanyika katika…

Read More

Dau la atakayemuona Mdude lafikia Sh15 milioni

Mbeya. Hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza dau la Sh10 milioni kwa atakayetoa taarifa za kupatikana kwa kada wao, Mdude Nyagali, inakuja kufuatia jitihada zinazoendelea tangu Mei 2, 2025, alipovamiwa na kushambuliwa nyumbani kwake na watu waliodaiwa kuwa ni askari polisi. Dau hilo la Sh10 milioni linaongezea na lile lililotangazwa awali na…

Read More