‘Tunaweza kufanya vizuri’ kwa usalama wa watembea kwa miguu na baiskeli ulimwenguni – maswala ya ulimwengu

Hizi ni aina halisi ya mipango ya mijini ambayo Wiki ya Usalama Barabarani ya UN – kuanza Jumatatu – inakusudia kusherehekea na kukuza. Ilianzishwa kwanza mnamo 2007, wiki ya mwaka huu imejitolea kwa mada “Fanya Kutembea na Baiskeli salama.” “Kutembea na baiskeli inapaswa kuwa ya kawaida zaidi, na kwa hivyo, njia salama kabisa ya usafirishaji“Alisema…

Read More

Ushahidi mama alivyomuua mwanawe, asiende kutoa ushahidi

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeelezwa jinsi Sophia Mwenda (64) alivyoshirikiana na mwanawe wa kiume, Alphonce Magombola (36), kutekeleza mauaji dhidi ya binti yake wa kumzaa, Beatrice Magombola. Imeelezwa kuwa baada ya kumuua, walichukua mwili wa marehemu kutoka nyumbani kwa marehemu eneo la Kijichi, wilayani Temeke, Dar es Salaam na…

Read More

Kada Chadema atua CUF, ataka kugombea urais

Dar es Salaam. Vita vya panzi, furaha ya kunguru. Ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Chama cha Wananchi (CUF) kuanza kuvuna baadhi ya makada wanaokihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huku kikisisitiza kwamba milango iko wazi kwa wanachama wengine wanaohitaji kuendeleza mapambano yao katika jukwaa jingine. Romanus Mapunda, aliyekuwa kada wa Chadema na aliyeingia kwenye…

Read More

ACT-Wazalendo yataka hatua za wazi waliotajwa ripoti ya CAG

Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka hatua za wazi kuchukuliwa kwa wote waliotajwa kuhusika katika ubadhirifu na kuisababishia Serikali hasara kama ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ilivyoeleza. Pasipo kufanya hivyo, imeelezwa wananchi wataona ripoti ya CAG hutolewa kila mwaka kwa kutimiza wajibu na si kwa ajili ya kufunua…

Read More

Serikali kupima vyuo vikuu kwa ubora wa tafiti, ufundishaji

Moshi. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Serikali imeanza mchakato wa kuvipima vyuo vikuu nchini kwa kuzingatia viwango vya ufundishaji wa wahadhiri, ubora wa tafiti na namna matokeo ya tafiti hizo yanavyotolewa na kutambulika kimataifa. Profesa Mkenda amesema hayo leo Mei 10, 2025 alipozindua Chuo Kikuu cha KCMC kilichopo Moshi, mkoani…

Read More