Watu hawa hatari kuoga maji baridi

Ingawa baadhi ya watu hufurahi kuoga maji baridi kwa sababu ya hisia inayotokana nayo, ni muhimu kuelewa kuwa maji baridi yana madhara pia kwa afya, hasa yakitumika vibaya. Makala haya kwa kuangazia vyanzo mbalimbali vya kimtandao, inaangazia kwa nini maji baridi yanaweza kuwa hatari kwa afya na makundi gani ya watu yanapaswa kujiweka kando na…

Read More

TANZANIA UAE KUSHIRIKIANA KUWEZESHA ELIMU KIDIJITALI NCHINI

Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesaini makubalino na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ya kushirikiana katika Teknolojia ya Shule Kidijitali. Makubaliano hayo yamesainiwa tarehe 8 Mei Jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo na Dkt Waleed Ali Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Shule Kidijitali ya UAE. Utiaji saini makubaliabo hayo umeshuhudiwa…

Read More

Mabadiliko  homoni yanavyoathiri  sukari kwa wanawake

Wanawake wenye kisukari hupata changamoto kwenye miili yao kutokana na mabadiliko ya homoni yanayotokea katika hatua mbalimbali za maisha yao. Homoni ni vichocheo vya mwili vinavyosaidia kudhibiti kazi nyingi mwilini, ikiwemo jinsi ya kutumia na kuhifadhi sukari mwilini.  Kwa wanawake, mabadiliko ya homoni hutokea wakati wa mzunguko wa hedhi, ujauzito, kunyonyesha, na wakati wa kukoma…

Read More

Jinsi ya kukabiliana na mfadhaiko, wanawake waongoza

Dar es Salaam. Mkazo wa akili au mfadhaiko, ni hali ya mwili kujihami hatimaye kujibu mapigo baada ya kupata tishio au hali ngumu. Takwimu shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kuwa wanawake ndio waathirika zaidi wa mkazo wa akili kuliko wanaume. Asilimia 75 hadi – 90 hufika katika huduma za afya kulalamikia mambo yanayohusishwa na…

Read More

Waokota taka hatarini kupata magonjwa haya

Dar es Salaam. Kukaa sehemu isiyo na hewa, kutumia dawa za kulevya ni miongoni mwa sababu zilizotajwa kuwa chanzo cha maambukizo ya ugonjwa wa kifua kikuu, kwa watu wanaojihusisha na shughuli za kuokota taka mijini. Hayo yamebainishwa kwenye semina ya mafunzo ya usalama na afya kwa waokota taka, iliyoandaliwa na Taasisi ya Uhifadhi na Utunzaji…

Read More

Vigogo wengine Chadema watarajiwa kutimka

Dar es Salaam. Baada ya vigogo waandamizi kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wanaofuata sasa ni baadhi ya viongozi wa kanda, mikoa na wilaya, Mwananchi limedokezwa. Jumatano ya Mei 7, 2025, wanachama wa Chadema waliokuwa kwenye sekretarieti wakati wa uongozi wa Freeman Mbowe, walitangaza kuondoka ndani ya chama hicho kwa sababu kimeshindwa…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Yanga haimdai chochote Hamdi

MSIMU utamalizika Juni baada ya mabadiliko ya ratiba yaliyofanywa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) hivi karibuni na mechi za mwisho za Ligi Kuu zitachezwa Juni 22. Kwa sisi hapa kijiweni kwetu hatufahamu nini kitaendelea kwa Kocha Miloud Hamdi wa Yanga ambaye muda huo atakuwa ameinoa timu hiyo kwa miezi sita tu. Labda Yanga…

Read More

Msimu mpya BDL/WBDL, kazi imeanza DonBosco

LIGI ya kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), inatarajia kuanza kesho kwa michezo miwili kupigwa katika Uwanja wa Donbosco Upanga na utaishuhudia UDSM Outsiders itakipiga dhidi ya JKT, huku ikitanguliwa na DB Lioness ikikwaruzana dhidi ya mpinzani wake mkubwa Vijana Queens ikiwa ni michezo ya ufunguzi kwa wanaume na wanawake. Kamishina wa ufundi na…

Read More