UNRWA inalaani ‘dhoruba’ za shule huko Yerusalemu Mashariki – Maswala ya Ulimwenguni

Kulingana na shirika hilo, wafanyikazi wenye silaha nyingi waliingia shuleni katika Kambi ya Wakimbizi ya Shu’fat Alhamisi wakati madarasa yalikuwa kwenye kikao, kulazimisha zaidi ya wasichana na wavulana 550 wa Palestina – wengine wachanga kama sita – nje ya madarasa yao. Moja Unrwa Mjumbe wa wafanyikazi alikamatwa, na shule zote zinazoendeshwa na wakala huko Yerusalemu…

Read More

Tanzania yajibu mapigo azimio la Bunge la Ulaya

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeeleza kusikitishwa na azimio la Bunge la Umoja wa Ulaya ikidai kwamba uamuzi uliofikiwa kwa kuzingatia taarifa zisizo kamili au za upande mmoja bila kuwasiliana na Serikali kwa njia za kidiplomasia. Serikali imeeleza hayo katika taarifa iliyotolewa Mei 8, 2025 na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…

Read More

Watu hawa hatari kuoga maji baridi

Ingawa baadhi ya watu hufurahi kuoga maji baridi kwa sababu ya hisia inayotokana nayo, ni muhimu kuelewa kuwa maji baridi yana madhara pia kwa afya, hasa yakitumika vibaya. Makala haya kwa kuangazia vyanzo mbalimbali vya kimtandao, inaangazia kwa nini maji baridi yanaweza kuwa hatari kwa afya na makundi gani ya watu yanapaswa kujiweka kando na…

Read More

TANZANIA UAE KUSHIRIKIANA KUWEZESHA ELIMU KIDIJITALI NCHINI

Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesaini makubalino na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ya kushirikiana katika Teknolojia ya Shule Kidijitali. Makubaliano hayo yamesainiwa tarehe 8 Mei Jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo na Dkt Waleed Ali Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Shule Kidijitali ya UAE. Utiaji saini makubaliabo hayo umeshuhudiwa…

Read More

Mabadiliko  homoni yanavyoathiri  sukari kwa wanawake

Wanawake wenye kisukari hupata changamoto kwenye miili yao kutokana na mabadiliko ya homoni yanayotokea katika hatua mbalimbali za maisha yao. Homoni ni vichocheo vya mwili vinavyosaidia kudhibiti kazi nyingi mwilini, ikiwemo jinsi ya kutumia na kuhifadhi sukari mwilini.  Kwa wanawake, mabadiliko ya homoni hutokea wakati wa mzunguko wa hedhi, ujauzito, kunyonyesha, na wakati wa kukoma…

Read More