Zijue amri 10 za kuwa tajiri
Utajiri mara nyingi unahusisha fedha, katika makala hii, tunachambua ‘Amri Kumi’ za Fedha zinazoongoza namna ya kupata, kuhifadhi, kutumia, na kuwekeza fedha kwa busara. Amri hizi si tu kuhusu kujikusanyia utajiri, bali kujenga uhusiano mzuri na fedha, kuhakikisha usalama wa kifedha, na kuacha urithi kwa vizazi vijavyo. 1. Utaweka bajeti ya kisasa daima Nguzo ya…