Jumuiya ya Haki za UN inatawala Guatemala ilishindwa kutengwa kwa watu wa Mayan – maswala ya ulimwengu

Uamuzi wa kihistoria, uliotangazwa Alhamisi, pia ulizingatia madhara yaliyosababishwa na vizazi vilivyofuata. “Uhamishaji wa kulazimishwa ni wa kudumu kwa asili hadi wahasiriwa wanufaike na kurudi salama na heshima kwa nafasi yao ya makazi ya kawaida au wameishi kwa hiari mahali pengine, ” Alisema Mjumbe wa Kamati Hélène Tigroudja. Migogoro, uhamishaji na ukiukaji Kamati iligundua kuwa…

Read More

Simba yaacha msala CAF | Mwanaspoti

SIMBA imeendeleza kugawa dozi katika Ligi Kuu Bara baada ya jana kuifumua Pamba Jiji kwa mabao 5-1 na kukata tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, huku ikiziachia msala Singida BS na Azam FC zilizo na siku 10 ngumu za kuomba miujiza iwabebe ili zitinge michuano ya CAF. Simba ilipata ushindi huo kwenye…

Read More

Magenge yenye silaha yanapanua udhibiti wao katika Idara ya Kituo cha Haiti – Maswala ya Ulimwenguni

Risasi kubwa ya tovuti hiyo kwa watu waliohamishwa walioshikiliwa katika Shule ya Marie-Jeanne huko Port-au-Prince, ambapo watu 7,000 wanaishi katika hali ya kuzidiwa na ya kukata tamaa, wakitafuta usalama wakati wa vurugu zinazoendelea za silaha huko Haiti. Mikopo: UNICEF/Patrice Noel na Oritro Karim (Umoja wa Mataifa) Alhamisi, Mei 08, 2025 Huduma ya waandishi wa habari…

Read More

Hotuba ya kwanza ya Papa Leo wa XIV

Vatican City. Papa Leo wa XIV ametoa hotuba yake ya kwanza akiwa Papa kwa kutumia lugha ya Kiitaliano na Kihispania. Baada ya maneno yake ya kwanza, “amani iwe nanyi nyote,” aliendelea na ujumbe wa mshikamano na maelewano. “Ndugu na dada wapendwa, huu ndio mwamko wa kwanza wa Kristo aliyefufuka. “Ningependa kutoa salamu za amani ziwafikie…

Read More

Mfahamu Papa mpya kutoka Marekani

Papa Leo XIV alikuwa mwanachama wa Shirika la Mtakatifu Augustine, ambaye anaelezwa kufanana kimatendo na Papa Francis katika kujitolea kwa maskini na wahamiaji, pamoja na juhudi za kuwafikia watu mahali walipo. Kabla ya kifo cha Papa Francis, Papa Leo XIV (Kardinali Prevost) alishika mojawapo ya nyadhifa zenye ushawishi mkubwa ndani ya Vatican, akiiongoza ofisi inayohusika…

Read More

KAMPUNI YA MAMBA MINERALS KUANZA UJENZI WA MGODI WA MADINI ADIMU DISEMBA 2025 KWENYE KIJIJI CHA NGWALA-SONGWE

▪️Ni mgodi wa uchimbaji wa madini adimu(Rare Earth Elements) ▪️Uzalishaji wa kwanza ni mwaka 2026 mwishoni ▪️Kiwanda cha Kusafisha Madini na kuongeza thamani madini kujengwa Songwe ▪️Rais Samia apongenzwa mazingira wezeshi ya uwekezaji Dodoma Kampuni ya Mamba Minerals Ltd yenye Leseni ya uchimbaji Madini adimu (Rate Earth Elements) imesema itaanza ujenzi rasmi wa Mgodi huo…

Read More

Heche awashukia G55, adai wamefika bei, Mrema ajibu mapigo

Karagwe. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amewashukia waliokuwa makada wa chama hicho waliotangaza kujivua uanachama akidai wamefika bei. Akihutubia mikutano ya hadhara ya kampeni ya No reforms, no elections kwa nyakati tofauti katika Wilaya za Kyerwa na Karagwe leo Alhamisi, Mei 8, 2025 Heche amesema baadhi ya makada hao…

Read More