Wabunge walia na madeni ya makandarasi, bili za maji

Dodoma. Kilio cha taasisi za umma kulimbikiza madeni ya huduma za maji na madai ya makandarasi kimezua mjadala bungeni wakati wa kujadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Awali, akiwasilisha maoni ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jackson Kiswaga,…

Read More

Marais wampongeza Papa mpya | Mwananchi

Washington. Marais Donald Trump wa Marekani na Volodymyr Zelensky wa Ukraine wamempongeza Papa mpya, Leo wa XIV, kwa kuchaguliwa kwake kuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani. Rais wa Marekani, Donald Trump, alieleza furaha yake kubwa kupitia mtandao wa Truth Social, akimpongeza Kardinali Robert Francis Prevost kwa kuchaguliwa kuwa Papa. Trump alisema: “Hongera kwa Kardinali…

Read More

MBUNGE AIDA KENANI AIBANA SERIKALI SUALA LA MAJI

Na Janeth Raphael MichuziTv – Bungeni Dodoma MBUNGE wa Nkasi,Aida Kenan (CHADEMA) amesema anatamani kufa ili wana Nkasi waweze kupata maji kutokana na mradi wa Ziwa Tanganyika kusimamia ambao ungepeleka maji katika Vijiji kumi na Tano katika Wilaya hiyo. Hivyo Mbunge huyo ameibana Serikali akiiitaka impe majibu ya kuridhisha kwani wananchi muda wote wamekuwa wakihoji….

Read More

Serikali imefungua milango kusaidia watu watakaoshindwa kulea watoto

Dodoma. Serikali imefungua milango kwa Watanzania wanaokabiliwa na changamoto ya kulea watoto wao, ikiwataka kuwapeleka kwa utaratibu maalum ili waweze kupokelewa na kulelewa badala ya kuwatelekeza mitaani au kuwatupa. Mpango huo unalenga kuwahudumia wanandoa waliofarakana pamoja na wazazi waliotelekezwa na wenza wao katika suala la matunzo ya watoto. Hata hivyo, mpango huo umeweka ahueni kwa…

Read More

DKT. ABBASI AKAGUA UJENZI WA UWANJA WA GOFU SERENGETI*

………….. Na Mwandishi wetu. Jitihada kubwa za kukuza Utalii nchini zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, zinazidi kushamiri katika Hifadhi ya Taifa Serengeti kwa ujenzi wa Uwanja wa kisasa wa Gofu nje kidogo ya…

Read More

ROBERT PREVOST PAPA MPYA KANISA KATOLIKI

Robert Kardinali Prevost ni mzaliwa wa Chicago nchini Marekani, na hadi kuchaguliwa kwake alikuwa akihudumu kama mkuu wa Dicastery wa kanisa kwa Maaskofu. Papa Leo XIV mwenye umri wa miaka 69 ametumia muda wake mwingi akitumikia nchini Peru, na ana uraia wa Marekani na Peru. Kabla ya kutangazwa, majina kadhaa yalikuwa yanatajwa kumrithi Papa Francis…

Read More

Mwanga yaomboleza: Cleopa Msuya ameacha alama isiyofutika

Mwanga/Dar. Wakati maandalizi ya mazishi ya aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, hayati Cleopa David Msuya yakiendelea, wananchi wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro wameeleza namna kifo chake kilivyoacha pengo lisilozibika, wakimtaja kama kiongozi aliyeweka historia ya umoja, mshikamano na maendeleo pasipo na ubaguzi. Mazishi ya kiongozi huyo mkongwe yanatarajiwa…

Read More