Rais Samia kuongoza waombolezaji kuaga mwili wa Msuya
Dar es Salaam. Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataowangoza Watanzania katika tukio la kumuaga marehemu Waziri Mkuu na Makamu wa Rais mstaafu, Cleopa Msuya. Hafla hiyo itakayoambatana na ibada maalumu, inatarajiwa kufanyika Mei 11, 2025 katika viwanja wa Karimjee kuanzia saa 3 asubuhi na kuongozwa na viongozi wa dini, pia,…