Mvomero inavyonufaika kwa biashara ya kaboni
Morogoro. Kata ya Pemba wilayani Mvomero, mkoani Morogoro, ni ya kupigiwa mfano katika utekelezaji wa miradi ya uhifadhi wa mazingira. Miradi hiyo inakwenda sambamba na uboreshaji wa maisha ya wananchi kupitia matumizi ya nishati safi ya kupikia na biashara ya kaboni. Miongoni mwa miradi hiyo ni ya uboreshaji misitu asilia inayotekelezwa na shirika lisilo la…