DALALI KIZIMBANI KWA KUJIFANYA TULIA ACKSON

DALALI mmoja anayeishi Kipunguni jijini Dar es Salaam, Charles Shirima amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka 42 ikiwemo utakatishaji fedha kiasi cha Sh milioni mbili. Mshitakiwa amesomewa mashtaka yake na wakili wa serikali Michael Shindai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Romuli Mbuya Aprili 6,2025 Shidai amedai kuwa mashtaka ya kwanza hadi…

Read More

Leo wa XIV ndiye Papa mpya wa Kanisa Katoliki

Vatican. Kardinali Robert Prevost (69) kutoka Marekani amechaguliwa kuwa Papa mpya wa 267, ambapo amechagua kutumia jina kwenye wadhifa huo la Papa Leo wa XIV. Ametangazwa kutokea katikati ya Kanisa kuu la Vatican, tangazo limetolewa na  Kardinali Shemasi Dominique Mamberti. Hatua hiyo imefikiwa baada ya siku mbili za kupiga kura, akidi ya theluthi mbili muhimu…

Read More

MAMA MARIAM MWINYI AZINDUA ZANZIBAR AFYA WEEK

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema  Maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya Nchi yoyote yanahitaji  jamii yenye Watu wenye Afya Bora. Mama Mariam ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Zanzibar Maisha Bora Foundation(ZMBF) amesema hayo alipoizindua  Zanzibar Afya Week  katika Hoteli ya Golden Tulip…

Read More

Uongozi mpya wa Chadema unavyopita katika tanuri la moto

Dar es Salaam. Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilipofanya uchaguzi wake wa ndani na kupata viongozi wapya, Januari 22, 2025, hali haijawa shwari ndani ya chama hicho kutokana na mwendelezo wa makundi. Katika uchaguzi huo uliofanyika Januari 21, 2025, Tundu Lissu aliibuka mshindi akimbwaga Freeman Mbowe ambaye amekuwa mwenyekiti wa chama hicho kwa…

Read More

WANAHABARI NA MABALOZI WA LATRA WAPIGWA MSASA

 ::::::: Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inaendesha semina ya kuwajengea uwezo Wanahabari Mabalozi wa LATRA juu ya kazi na majukumu yanayotekelezwa na Mamlaka. Semina hiyo ni ya siku mbili imefunguliwa rasmi na CPA Habibu Suluo, Mkurugenzi Mkuu LATRA ambapo katika ufunguzi huo amewapongeza wanahabari hao kwa kuwa mabalozi wazuri katika ufikishaji wa habari zinazohusu…

Read More

Makalla: Chadema kutoshiriki uchaguzi ni mseleleko kwetu

Morogoro. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoshiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu ni mseleleko wa ushindi kwa chama hicho tawala nchini. Makalla amebainisha hayo leo Alhamisi Mei 8, 2025 akiwa safarini kuelekea Ifakara, ambapo alisimama njiani kuzungumza…

Read More

Mfanyabiashara ajitosa kuwania urais kupitia TLP

Dar es Salaam. Kada wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Wilson Elias amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Elias ambaye ni mzaliwa wa Tanga, anakuwa kada wa kwanza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama…

Read More