AKILI ZA KIJIWENI: JKT Queens ikimshusha Simba Queens sijui
KABLA ya mechi ya mechi ya jana ya Ligi Kuu ya Wanawake ambayo JKT Queens ilikuwa nyumbani dhidi ya Simba Queens, maafande hao walikuwa wanaongoza msimamo wa ligi hiyo wakiwa na pointi 38. JKT Queens ilikuwa mbele kwa tofauti ya pointi moja tu dhidi ya Simba Queens ambayo ilikuwa nafasi ya pili na pointi zake…