Amuua mpenzi wake akimtuhumu kumuambukiza Ukimwi
Musoma. Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia Samwel Emmanuel (20) kwa tuhuma za mauaji ya Josephina Magani (52), kwa madai kwamba alimwambukiza virusi vya Ukimwi. Taarifa za awali zinaeleza kuwa baada ya Emmanuel kugundulika kuwa na maambukizi ya virusi hivyo, alimlaumu Magani kuwa chanzo cha hali hiyo. Inadaiwa kuwa kutokana na hasira hizo, alichukua hatua…