Takukuru yataja Tanzania ilivyoingiza maudhui ya rushwa mtalaa wa elimu
Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Crispin Chalamila ameshiriki mkutano wa 15 wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka za Kupambana na Rushwa kwa Nchi za Jumuiya ya Madola – Kanda ya Afrika unaofanyika Cape Town, Afrika Kusini kwa siku tano. Mkutano huu unaotarajiwa kuhitimishwa kesho Ijumaa Mei…