WAZIRI KABUDI AITAMBULISHA RASMI BODI YA ITHIBATI BUNGENI

•Kuanza mwaka wa Fedha 2025/26 kwa mafunzo Na Mwandishi Wetu, JAB. WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameitambulisha rasmi Bungeni Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) na kubainisha kwamba katika kutekeleza majukumu yake kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 itaanza kwa kutoa mafunzo kupitia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi wa…

Read More

Wajumbe wa Baraza Kuu la NSSF Wapatiwa mafunzo

 Na MWANDISHI WETU,Tanga. Wajumbe wa Baraza Kuu la 54 la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Bw. Masha Mshomba wamepatiwa mafunzo mbalimbali yaliyolenga kuongeza uelewa wa huduma wanazozipata kutoka NHIF, PSSSF, RITA, Kampuni Tanzu ya NSSF, Sisalana pamoja na elimu kuhusu afya ya akili. Mafunzo hayo yamefanyika…

Read More

MENEJIMENTI YA NCAA YAPATA MAFUNZO YA KUBORESHA UTENDAJI KAZI.

Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye ameiongoza Menejimenti ya Mamlaka hiyo kupata mafunzo katika nyanja mbalimbali ili kuendana na mabadiliko ya Sayansi na teknolojia na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya taasisi kulingana na wakati. Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku tatu jijini Arusha kuanzia tarehe 5-7 Mei,…

Read More

MADIWANI ARUSHA WAOFIA KUPIGWA MAWE KUTOKANA NA UBOVU WA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Na Seif Mangwangi, Arumeru MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wilayani Arumeru wamedai kuogopa kutembea hadharani wakihofia kupopolewa mawe na wananchi katika maeneo yao ya utawala kufuatia ubovu mkubwa wa barabara katika maeneo hayo uliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. Hayo yameelezwa Mei 7, 2025 na Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani katika Halmashauri…

Read More

Walioula mikopo ngazi ya Diploma hadharani

Na: Mwandishi Wetu, Dar. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa majina ya wanufaika wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya Stashahada (Diploma) walioomba kwenye dirisha la mwezi Machi, 2025. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dk. Bill Kiwia, kupitia Taarifa yake kwa Umma, Mei 05, 2025, ameeleza kuwa fedha…

Read More

Pluijm: Kwa Amankona Singida BS italamba dume

KOCHA wa zamani wa Yanga, Hans van der Pluijm ameisifu Singida Black Stars kumsajili mshambuliaji wa Berekum Chelsea ya Ghana, Stephen Amankona, akisema iwapo itafanikiwa kukamilisha dili hilo, basi itakuwa imelamba dume. Kocha huyo raia wa Uholanzi amewahi kufanya kazi Tanzania kwa zaidi ya miaka saba vipindi tofauti, anafahamu vyema aina ya wachezaji wanaoweza kufanya…

Read More