Rais Dkt. Samia Atangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu David Cleopa Msuya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. David Cleopa Msuya kilichotokea leo tarehe 07 Mei, 2025 katika Hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo. Taarifa zaidi ya Mipango kamili…