Simba yamganda kiungo Sfaxien | Mwanaspoti
MABOSI wa Simba wamemganda kiungo wa CS Sfaxien ya Tunisia, Balla Moussa Conte baada ya kufanya naye mazungumzo na sasa wanasikilizia uamuzi wa mwisho wa klabu anayoichezea ili atue Msimbazi msimu ujao. Simba ilimuona kiungo huyo katika mechi ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ilipoichapa CS Sfaxien Kwa Mkapa kwa mabao 2-1 kisha kwenda…