Benki yakomalia ushiriki matukio ya mbio kuboresha afya, utalii
Dar es Salaam. Ili kukuza chachu ya ufanyaji mazoezi, mshikamano na uzalendo wa kitaifa Benki ya Absa Tanzania imesisitiza jamii katika ushiriki wa mbio za Absa Dar City Marathon 2025 zenye faida ikiwemo kiafya, misaada na utalii. Mbio hizo zinatajwa kuwa zaidi ya ufanisi wa wanariadha zikiwa na lengo la kukuza afya ya jamii kama…