Shigongo Aongoza Waombolezaji Kumuaga Kasango Mwizalubi, Buchosa- Video – Global Publishers
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki mazishi ya Kasango Mwizalubi aliyekuwa Balozi wa CCM katika Kijiji cha Itabagumba, Buchosa wilayani Sengerema. Akiwa kwenye msiba wa Mwizalubi ambaye pia alikuwa Mwenyeiti wa Kitongoji cha Mlumoni, Itabagumba, Shigongo amewakumbusha watu wote kuishi kwa upendo kwa sababu maisha ya duniani…