Waliokwama China wasimulia hekaheka walizozipata
Dar es Salaam. Wafanyabiashara waliokwama China na kufanikiwa kurejea nchini wameeleza hekaheka walizopitia katika kadhia hiyo. Mei 4,2025 Mwenyekiti wa Wafanyabiashara wa Kariakoo Severine Mushi, alieleza kukwama kwa wafanyabiashara zaidi ya 70 nchini China. Hii ilikuwa ni baada ya tiketi zao za kurudi Tanzania walizokatiwa na wakala iliyefahamika kwa jina la Jasmini kuonekana hazipo kwenye…