Sera mpya mambo ya nje kutoa mwogozo wa diaspora
Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema sera mpya ya mambo ya nje itakayozinduliwa mwezi huu itatatua changamoto kadhaa ikiwamo ukosefu wa mwongozo wa kushirikiana na Watanzania waishio nje ya nchi (diaspora). Mambo mengine yatayokuwemo kwenye sera hiyo ya mwaka 2001 ni kushughulikia changamoto…