SERIKALI YAJIPANGA KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI KARIBU NA MAJOSHO
…………….. Na Ester Maile Dodoma Serikali kupitia wizara ya mifugo na Uvuvi imejipanga kuanza kuchumba visima vya maji karibu na majosho ili kuweza kurahisisha upatikanaji wa maji wakati wa kutibu mifugo . Ameyaeleza hayo Waziri wa mifugo na uvuvi Dkt Ashatu Kachwamba Kijaji wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari leo jijini Dodoma katika…