Shirima kortini madai ya kujitambulisha kama Spika wa Bunge
Dar es Salaam. Mkazi wa Kipunguni, Charles Shirima, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka 42 yakiwemo kujitambulisha kuwa yeye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson, kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu mwingine na kitapeli watu na kujipatia fedha kwa njia ya…