Makamu wa Rais Riek Machar Ashtakiwa kwa ‘Ugaidi na Uhaini’ – Global Publishers
Last updated Sep 12, 2025 Makamu wa Rais wa Kwanza Sudan Kusini, Riek Machar Juba, Sudan Kusini – Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kufunguliwa mashtaka mazito dhidi ya Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar, ikimtuhumu kwa ugaidi, uhaini, mauaji na uhalifu dhidi ya ubinadamu. Hatua hii, iliyotangazwa rasmi na Wizara ya Sheria siku…